Panga Miadi
Si jambo la haraka? Tupigie simu kupanga miadi ya uchunguzi wa afya, huduma za magonjwa sugu, na huduma za kudumisha afya.
MATIBABU
- Mafua
- Influenza
- Upimaji na matibabu ya maambukizi ya zinaa (STI)
- Uchunguzi wa mwili
MENO
- Huduma za kawaida za meno kama kusafisha, kuziba, au kuweka vifuniko vya meno (kofia za meno)
- Meno kuhisi maumivu kutokana na baridi au joto
AFYA YA KITABIA
- Kuzungumzia mabadiliko ya ghafla maishani
- Ushauri nasaha kuhusu msongo wa mawazo, mabadiliko maishani, au ujuzi wa kukabiliana na changamoto
MACHO
- Uchunguzi wa uwezo wa kuona
- Kuagiza miwani mipya au lenzi za mguso


